Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

H Baba azimia akifanyiwa dua aache uchawa

Dudu Bayaaaa1952177 H Baba azimia akifanyiwa dua aache uchawa

Fri, 5 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwenye video fupi inamuonyesha msanii wa muziki wa ongo Fleva H Baba akizimia/kukata upepo wakati akiombewa na Sheikh ili aachane na mambo ya Uchawa na kurudi kwenye muziki rasmi.

Kwennye video anasikika akiongea Farid Kubanda almaarufu kama Fid Q akimuombea aahidi kwa watu waliokuwepo eneo la tukio na Sheikh kuwa hatorudi tena kwenye mambo ya Uchawa na atafanya muziki wake.

Baada ya Sheikh kuomba dua na kumaliza H Baba ameonekana akizimia. Tukio hili limefanyika mkoani Mwanza nyumbani ambapo ni mahali walipozaliwa Fid Q na H Baba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live