Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

H-Baba amwaga machozi hadharani kisa Harmonize

H Baba Sf H-Baba amwaga machozi hadharani kisa Harmonize

Thu, 1 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii mkongwe wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania, H Baba ameshindwa kujizuia na kujikuta akimwaga chozi wakati akizungumzia mikataba wanayosaini wasanii katika Lebo ya Konde Gang iliyo chini ya Harmonize.

H Baba anasema kuwa, miongoni mwa vitu vinavyomuuma ni pamoja na msanii kutakiwa kulipa shilingi bilioni 1 kama anataka kujitoa kwenye lebo hiyo huku akitakiwa kulipwa shilingi milioni 10 kama lebo ikitaka kuachana naye.

H Baba ameyasema hay oleo Jumatano Novemba 30, 2022 katika mahojiano maalum na Kipindi cha Hotpot kinachorushwa mubashara na +255 Global Radio na Global TV.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live