Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

H Baba amsamehe Harmonize

H Baba Nm.png H Baba amsamehe Harmonize

Mon, 29 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

H Baba; ni msanii mkongwe wa Bongo Fleva ambaye anasema kuwa, kwa sasa hawezi kulilia tena pesa anazomdai Harmonize wakati Diamond Platnumz anamlipa pesa nzuri.

H Baba; ni msanii mkongwe wa Bongo Fleva ambaye anasema kuwa, kwa sasa hawezi kulilia tena pesa anazomdai Harmonize wakati Diamond Platnumz anamlipa pesa nzuri. Awali H Baba alikuwa akilalamika kuwa, kwenye kolabo yake na Harmonize na Awilo ya Wimbo wa Attitude hakulipwa hata shilingi moja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live