Pole Sana @officialnandy najua @mwijaku anakuchukia sawa ila @officialbabalevo nimshikaji wako mpaka show zako ulimuita awepo mkawa mnaninanga H.baba wa watu ila Mimi sikumaind nikawazoom tuu wee unamind nini kitu kidooogo unamind ila kunanga wenzio unapenda...
Tatizo uamini kama ukizaa nakuolewa unapunguza utamu Kwa mashabiki njoo nikufundishe nakupa mfano hai Mimi na Frolah tulipoteana baada ya Ndoa au chunguza wasanii wanaoishi pamoja wamezaa na kuoana wengi wamepotea ila wanajitutumua tuu maajabu kushnei ...
kikubwa muombe Mungu toa magoma makali twende ila kubali kataa ubora kiutendaji unapungua... Mimi nakuombea mema ila acha ukweli ukae mahala pake... Thibitisha ubora wako Kwa Vitendo Acha Maneno unajua.. wajuze maadui zako Kwa Vitendo si Kwa maneno unajua unaweza WASAFI wanakupenda sio maadui zako ila ukweli unauma......
(Msemakweli) H.babababababababaaaa.