Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

H Baba: Nilikuwa napigwa na mpenzi wangu wa zamani

H Baba: Nilikuwa Napigwa Na Mpenzi Wangu Wa Zamani H Baba: Nilikuwa napigwa na mpenzi wangu wa zamani

Wed, 22 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki Bongo, Hamisi Ramadhan Baba 'H Baba' ametusanua kuwa kwenye mahusiano yake ya zamani alikuwa akipokea kichapo kizito kutoka kwa mpenzi wake.

Staa wa muziki Bongo, Hamisi Ramadhan Baba 'H Baba' ametusanua kuwa kwenye mahusiano yake ya zamani alikuwa akipokea kichapo kizito kutoka kwa mpenzi wake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, H Baba ame-share video ikimuonesha mwanaume akipigwa na mwanamke kisha kuisindikiza na ujumbe kuwa kwa sasa anashukuru Mungu hakutani tena na kichapo kama kwenye mahusiano yake ya zamani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live