Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

H Baba: Nachukia Flora kuwapeleka wanangu kanisani

H Baba NA F H Baba: Nachukia Flora kuwapeleka wanangu kanisani

Thu, 18 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa kitambo kwenye Bongo Fleva, Hamisi Ramadhan Baba ‘H Baba’ amesema, ugomvi wake mkubwa kati yake na aliyekuwa mkewe ni kuwapeleka watoto kanisani ili hali akijua kabisa ni Waisilamu.

H Baba amefunguka hayo alipokuwa akihojiwa na Wasafi FM juzikati ambapo alitumia nafasi hiyo kusimulia kilichotokea hadi kufikia hatua ya kuachana na mkewe Flora Mvungi.

“Mimi na yeye tumemalizana lakini ugomvi wangu upo kwa watoto. Aangeenda yeye tu kanisani mimi sina shida ningemruhusu maana mimi nilimuoa akiwa Mkristo nikambadili dini akaitwa Bi Khadija sasa kama ameamua kurudi alipotoka sina tatizo lakini sio watoto,” alisema H Baba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live