Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

H Baba: Mimi ni kaka wa kulamizisha wa Diamond

H Babababa H Baba: Mimi ni kaka wa kulamizisha wa Diamond

Tue, 18 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkongwe kwenye Bongo Fleva, Hamisi Ramadhani Baba ‘H Baba’ amesema, yeye ni kaka wa hiyari wa kulazimisha wa Diamond na watu wamuelewe.

H Baba ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na Refresh ya Wasafi TV hivi karibuni.

“Mimi ni kaka wa hiari ya kulazimisha. Unamjua kaka wa kulazimisha. Sio ndugu lakini nimelazimisha,” alisema H Baba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live