Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

H Baba, Lukamba hapatoshi

Lukamba Na H Baba H Baba, Lukamba hapatoshi

Tue, 20 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya H. Baba kudai kuwa aliyekuwa mpigapicha wa staa wa muziki Diamond Platnumz ambaye kwa sasa pia ni msanii wa muziki Lukamba kuwa ameondoka kwa staa huyo kwa ubaya na anapadharau palipomfikisha alipo sasa na kumwambia kuwa asitake kushindana Lukamba amekuja juu.

Amemchana vibaya H Baba kuwa yeye anamjua na kumkubali staa huyo wa muziki kuliko yeye hivyo asitake kuleta uchonganishi.

Kupitia Instagram ya Lukamba ameandika...

"Bro me namjua Simba kuliko wewe, namkubali Simba kuliko wewe na hata yeye pia anajua hilo…hakuna sehemu niliwahi sema Simba hajanisaidia halafu hii kauli kwamba alitoka vibaya we unajua mikataba yetu? Mmekazania katoka vibaya vibaya kuna sehemu nishawahi mvunjia heshimaa? Acheni hizo mwacheni mtu afanye maisha yake acheni uchonganishi.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live