Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

H.Baba: Kila mtu aweke sanamu ya Diamond nyumbani kwake

Diamond H Baba H Baba na Diamond

Thu, 18 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, H.baba ambaye naye amekuwa chawa wa Daiamond Platnumz, amefunguka na kushauri ya kwamba ni vyema kila mtu nyumbani kwake aweke sanamu ya Diamond kutokana na mambo makubwa anayofanya katika tasnia ya muziki ndani na nje ya Tanzania.

Msanii wa Bongo Fleva, H.baba ambaye naye amekuwa chawa wa Daiamond Platnumz, amefunguka na kushauri ya kwamba ni vyema kila mtu nyumbani kwake aweke sanamu ya Diamond kutokana na mambo makubwa anayofanya katika tasnia ya muziki ndani na nje ya Tanzania. "Kila Mtanzania atengeneze Sanamu ya Diamond Platnumz aiweke nyumbani kwake kama sehemu ya kuthamini mchango wake kwenye Muziki hapa Tanzania," amesema H.baba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live