Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

H.Baba: Harmonize ameniharibia maisha yangu

Harmonize Hbaba H.Baba: Harmonize ameniharibia maisha yangu

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki H.Baba amefunguka kwa hisia kali sababu kutokumaliza ugomvi wake na C.E.O wa Konde Gang, Harmonize.

Ikukmbukwe kuwa, H.Baba alikuwa na urafiki wa karibu na Harmonize kabla ya kuhama na kutua WCB Wasafi kwa Diamond Platnumz.

"Sio rahisi mimi kuwa karibu tena na Harmonize sababu ameniharibia maisha yangu kwa kiasi kikubwa sana siwezi kumpeleka kumpeleka polisi au mahakamani sababu sisi ni binadamu," alisema H.Baba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live