Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

H Baba: Diamond kaniletea kiatu spesho oda

H Baba Na Diamond H Baba: Diamond kaniletea kiatu spesho oda

Fri, 21 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa kitambo kwenye gemu, Hamisi Ramadhan Baba ‘H Baba’ ametamba kuwa, mdogo wake Diamond Platnumz amemletea zawadi ya viatu ambavyo ni vya bei mbaya.

H Baba amezidi kutamba kuwa, viatu hivyo Diamond amemletea yeye kutoka London nchni Uingereza kama spesho oda viatu ambavyo machawa wenzake hawawezi kuletewa.

“Wewe angalia hivi viatu ni spesho oda, Diamond kaniletea mimi tu huwezi kuona Mwijaku au Baba Levo ana viatu kama hivi,” alisema H Baba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live