Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

H-Baba: Diamond asishindanishwe na mtu

H Baba Na Diamond H-Baba na Diamond

Thu, 24 Nov 2022 Chanzo: Global Publishers

Msanii wa Bongo Fleva, H-Baba amefunguka kuwa ni katazo kubwa kushindana na msanii Diamond Platnumz bali wasanii wajifunze kutoka kwa msanii huyo.

"Mwamba huyu hapa kiboko kabisa wa madoa sugu taarifa: (tangazo) nimarufuku kushindana na Diamond Platnumz sababu kuu ni nyingi.

"Diamond nimfano wakuigwa kupitia sisi vijana mbali naubilionea alionao bilionea mtoto Diamond pia vitu anavyomiliki nindoto yake, na malengo yake aliojipangia.

"Tujifunze wasanii kuwekeza tumezidiwa kila kitu ubishi utatufanya kuwa maskini wa fikra na sanaa, kujikuta mjuaji wakati unakitu ujawekeza utashindana vipi na mwekezaji mkubwa kama Diamond tumezidiwa tujifunze kupitia Diamond.

"Kwa nini ushindane na mfano wetu wa watanzania kupitia vijana, vijana wengi ujifunza vitu vingi kupitia sanaa namaisha ya Diamond ukitaka kushindananae nakupa siri.

"Labda utamshinda bangi na kupulizwa sio #muziki uwekezaji n.k wallah… tumpe heshima yake.

"Wee endelea (kupulizwa) sio muziki huyu mwamba ni mkombozi wa sanaa nishujaa wa sanaa tumueshimu kumshindanisha na vipulizo nikosa kisheria tunamkosea adabu #Kinyago ulichokichonga akikutishi ata siku moja, wee pulizwa wapulizaji wapo,” amesema H-Baba.

Chanzo: Global Publishers