Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

H.Baba: BASATA mfungieni Harmonize

HARMONIZE ORODHA H.Baba: BASATA mfungieni Harmonize

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, H.Baba amewataka viongozi wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kumfungia msanii mwenzake, Harmonize kwa kile alichokieleza kuwa amekuwa akiwadharirisha wananwake.

Kauli hiyo ya H.Baba ambaye aliwahi kuwa swahiba wa Harmonize kabla ya kuhamia kwa Diamond Platnumz, inakuja ikiwa ni siku chache baada ya ku-trend kwa video ya Harmonize akicheza na mrembo huku akimsogelea kwenye makalio, jambo ambalo H.Baba amelitafsiri ni kama udharirishaji kwa mwanamke huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live