Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

H.BABA AIBUA MJADALA BAADA YA KUPOSTI PICHA YA TUNZO YA KONDE BOY

Download 35?fit=225%2C225 H.BABA AIBUA MJADALA BAADA YA KUPOSTI PICHA YA TUNZO YA KONDE BOY

Mon, 23 Nov 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Msanii wa filamu na muziki nchini Tanzania H.baba ameibua mjadala mkukwa mashabiki wa mziki ,ikiwa ni mara nyengine baada ya kuposti tunzo ambayo alimpatia msanii wa muziki konde boy kutoka Konde gang akionekana kumpongeza kwa kupata tunzo hio.

Msanii wa filamu na muziki nchini Tanzania H.baba ameibua mjadala mkukwa mashabiki wa mziki ,ikiwa ni mara nyengine baada ya kuposti tunzo ambayo alimpatia msanii wa muziki konde boy kutoka Konde gang akionekana kumpongeza kwa kupata tunzo hio. Itakumbukwa kuwa hivi karibuni wasanii wa mziki nchini wamepata tunzo  AFRIMMA2020 akiwemo Diamond, Nady na Zuchu, mashabiki wanasema kuwa H.baba kama ameamua kumliwaza Konde boy kwa kumposti na tunzo hio.

Chanzo: zanzibar24.co.tz