Uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke umeeleza kuchukizwa kwake baada ya kusambaa kwa video clip inayomuonesha Mgeni (Amber Rutty) akizungumza na Wanafunzi katika Shule ya Msingi Nzasa iliyopo katika Manispaa hiyo na kusema haihusiki na mwaliko wa Mgeni huyo na kwamba tayari wamemuonya Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo kwa kitendo hicho.Unaweza ukabonyeza play kufahamu tamko la uongozi wa shule hiyo baada ya Amber Rutty kuwa mgeni rasmi.