Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Guchi aachia I swear akiwa na Yemi Alade

Guchi  Yemi Guchi na Yaemi

Fri, 21 Oct 2022 Chanzo: Guchi aachia kitu na Yemi Alade

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Guchi ameachia ngoma yake mpya iitwayo “I Swear”, akiwa amemshirikisha mkali wa muda wote Yemi Alade . Kazi hiyo imetayarishwa na ChechDaProducer.

Wakati Guchi akiwa ni malkia wa kuachia midundo ya kusisimua inayohusu mapenzi kuvunjika, sasa amekuja na kazi hii yenye utofauti mkubwa kabisa ambapo inawapa nafasi yeye na Yemi kuimba mstari kwa mstari .

Muunganiko huu ni mkubwa katika muziki kwani umeweza kuleta radha ya tofauti katika muziki wa pop. Kwa sasa Guchi anatajia kuingia tena studio na kumalizia project zake kali zijazo.

Chanzo: Guchi aachia kitu na Yemi Alade