Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gucci Mane: Usitegemee kupata upendo sehemu unayotokea

Gucci Mane Msanii Gucci Mane

Tue, 24 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Gucci Mane amepigia mstari msemo wa 'Nabii hakubaliki kwao' baada ya kusema hauwezi kupata sapoti na upendo sehemu unayotokea au mji unaotokea mpaka ukiwa nje/mbali na unapotokea.

Gucci Mane anasema sehemu unayotokea ni ngumu watu kuona kipaji chako au ku-push jambo lako tofauti na sehemu nyingine ambayo haujatokea kwa sababu ya wivu na chuki.

Kipi kingine kinasababisha watu wasikubaliwe wanapotokea mpaka wawe nje ya hapo?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live