Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Grammy kuelekeza namna ya kujisajili

GRAMMY Grammy kuelekeza namna ya kujisajili

Tue, 11 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waandaaji wa Tuzo za Muziki Za Grammy Kuelekeza namna Ya Kujisajili Na Kushiriki Tuzo hizo Siku Ya Jumatano (Julai 19,2023)

Kupitia Tovuti yao Grammy wameandika ; "Tunayo-furaha Kukukaribisha Katika Msimu Wa 66 Wa Tuzo Za Grammy

Recording Academy Inawakaribisha Wote Kushiriki/Kujiunga Katika Tuzo Za Grammy Za Awamu Ya 66 Kupitia Taratibu Za Online Inayofahamika Pia Kama OEP. Utaratibu Huo Kupitia OEP Utaanza Rasmi Julai 17, 2023 Na Mwisho Itakuwa Ni Agosti 31, 2023

Team Yetu Ya Grammy Itaeleza Live Siku Ya Jumatano (Julai 19) Ambapo Utapata Nafasi Ya Kuelewa Namna Tovuti Ya OEP Inavyokuwa Kama Sehemu Ya Kukamilisha Zoezi La Kujiunga/ Kuingia Katika Tuzo Za Grammy"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live