Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Grammy 2024 yavunja rekodi

Grammy 2024 Grammy 2024 yavunja rekodi

Tue, 6 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Imeripotiwa kuwa Tuzo maarufu za Grammy kwa mwaka 2024 zimevunja rekodi kwa kupata ongezeko kubwa la watazamaji ambapo zimefanikiwa kupata watazamaji milioni 16.9. huku ikiifanya idadi ya watazamaji kuongezeka kwa asilimia 34.

Imeripotiwa kuwa Tuzo maarufu za Grammy kwa mwaka 2024 zimevunja rekodi kwa kupata ongezeko kubwa la watazamaji ambapo zimefanikiwa kupata watazamaji milioni 16.9. huku ikiifanya idadi ya watazamaji kuongezeka kwa asilimia 34. Kwa mwaka jana Tuzo hizo zilifanikiwa kupata watazamaji milioni 12.4 ambapo kwa miaka mitatu nyuma ilichukuliwa kuwa sherehe hiyo ndiyo iliua kwa kupata watazamaji wengi zaidi toka mwaka 2020.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live