Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Good news kwa Wanafunzi wa kike, Flaviana Matata azindua kampeni mpya

Ggggiii 2 660x400 Good news kwa Wanafunzi wa kike, Flaviana Matata azindua kampeni mpya

Fri, 29 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

Flaviana Matata kupitia taasisi ya FMF ambayo ni Flaviana Matata Foundation ameendeleza harakati za kusaidia Wanafunzi kupata Elimu kwa kupunguza changamoto zinazowakabili hususani zile zinazowahusu watoto wa kike

Flaviana Matata kupitia taasisi ya FMF ambayo ni Flaviana Matata Foundation ameendeleza harakati za kusaidia Wanafunzi kupata Elimu kwa kupunguza changamoto zinazowakabili hususani zile zinazowahusu watoto wa kike Leo amezindua rasmi na kuitambulisha Kampeni ya Donate a Period (Yani changia Hedhi) ambayo inatoa fursa kwa watu kuchangia kuwasaidia watoto wa kike walio kwenye mazingira yasiyo Salama.Katika uzinduzi huo, Taasisi ya FMF imewafadhili watoto 1000 kwa kuwapatia taulo za kike bure, kila mwezi kwa Muda wa mwaka mmoja.

Chanzo: millardayo.com