Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gigy Money vs Mange Kimambi kimeumana

Gigy Mangi Gigy Money vs Mange Kimambi kimeumana

Fri, 25 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Mange Kimambi kuibuka katikati ya ugomvi wa Gigy Money na Abby Chams na kumvaa Gigy kwamba yupo kwenye mahusiano na Diamond Platnumz na huduma yake kubwa hasa ni kumpa Diamond mapenzi kinyume na maumbile . Mange amesema gari ya Gigy Money aliyoinunua hivi karibuni pesa zimetoka kwa Diamond Platnumz ambaye ni mpenzi wake.

Kimambi ameenda mbali zaidi kwa kusema Gigy anatumia Unga (Madawa ya Kulevya) ambapo hutumia yeye na Diamond Platnumz, pia ameongeza kuwa si mara moja au mbili Gigy Money kutoa mimba, amesema Gigy ni mchafu wa roho hadi tabaia hafai kwa ubinadamu wala unyama. Na haya ndiyo majibu ya Gigy Money kwa Mange Kimambi baada ya kuziona tuhuma hizo.

"Kwanza Mange ni nani? yeye siyo Prophet Malisa hawezi kuniombea upako ukaniingia Mange una upako wa kunipa mimi? Huna upako, utanipaka nini zaidi ya matope (tusi) wewe, sitaki mazoea na sikupendiiii. Eti umetoa majibu yangu!! Kwa taarifa yako aliyekupa majibu yangu ya hospitali yuko jela wewe upo Marekani"

"Mtu mwenyewe wigi moja kila siku, nikutumie wigi!!? Maisha ya Marekani magumu rudi nyumba (tusi)! huyo msanii wako Abby Chams ametoka Marekani vijijini anakuja kutusumbua hapa na vingereza, mnaongea na Gigy Money sio Kima, mnadhani nikiwa mlokole ndio nitawakalia kimya? Nitawatukanaaaa simuogopi Mange wala mdudu yoyote.

"Hapo ndio sijawachamba kwasababu ya ulokole lakini mngeisoma namba leo, Simuogopi Mange na wala siyo kiboko yangu, kiboko yangu ni mwanaume wangu anayenikojoza, mange anaweza kunikojoza mimi, atulie," amesema Gigy Money.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live