Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gigy Money kuhusu kurudiana na Baba Mtoto wake

7157 Gigy Money Bongo5 Mtoto Wake Gigy Money na familia yake

Mon, 9 Aug 2021 Chanzo: eatv.tv

Msanii Gigy Money amejibu madai ya taarifa za kurudiana na mzazi mwenzie Mo Jay baada ya kuonekana wakiwa pamoja na mtoto wao Mayra.

Gigy Money amekanusha hilo kwenye 'Insta Story' yake kwa kueleza hajarudiana na mtu hivyo watu wasidanganywe na trending za story hizo mitandaoni, kilichotokea ni Mayra alikuwa anaumwa na baba yake kaenda kumuona.

"Sijarudiana na mtu jamani, naona natrend huko wanawadanganya tu, Mayra anaumwa na baba yake kaja kumuona nimependa jinsi wamecoperate kwa hiyo sioni kama ni kosa, mniache". comment ya Gigy Money   

Chanzo: eatv.tv