Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gigy Money azidi kukomaa 'nimempa penzi Kiba'

Gigy Money Na Kiba Gigy Money azidi kukomaa 'nimempa penzi Kiba'

Wed, 30 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Suala la Gigy Money kuacha kuzungumzia madai yake ya kuwahi kutoka kimapenzi na Alikiba haitokuwa rahisi pamoja na kupewa onyo na Alikiba ambaye amekanusha taarifa hizo.

Gigy Money anadai kuwa alitoka kimapenzi na Alikiba akiwa mdogo hivyo inakuwa ni ngumu sana kusahau, na ameshauri Ali amtafutie Mwanasaikolojia ili amsaidie kusahau jambo hilo.

"Siwezi kusahau labda kwa kuwa nilitembea na huyo mtu (Kiba) nikiwa bado mdogo," alisema Gigy.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live