Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gigy Money aukataa msamaha wa Diva

Diva Gogy Mojaa.jpeg Gigy Money aukataa msamaha wa Diva

Sat, 8 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muda mfupi baada ya mtangazaji wa Wasafi FM, Diva Giselle Malinzi 'Diva the Bawse' kuposti picha ya msanii Gift Stanford 'GigyMoney' na kusema kuwa amemsamehe, hatimaye Gigy naye ameibuka kwenye comment na na kudai kuwa hajamuomba msamaha huku akisema kuwa sio tabia yake kuomba msamaha.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa #Diva aliandika; "Lets make it clear ... Sababu sijapost , Napost ... Allow me to introduce to you toto Ya Diva ???? Nimekusamehe mdogo wangu GIGY love You .. keep hustlinggg ????"-@divatheebawse

Comment ya #Gigy inasomeka;

"Da Diva msamaha tena, nani kaomba msamaha sasa na kwa kosa gani? Jamani halafu si ungenipigia simu tu, huku Insta watu wanaona hizi ni drama tu huku, kama unanipenda call me, mimi sina tatizo na wewe kabisa, you know me better than social ❤️ au caption yako ni kinyume mama.

Mimi sijawahi kukukosea sitopenda watu waamini mimi ni mkosefu na kwa kawaida mimi sio mtu wa kuomba msamaha hovyo. Hapa kweli tunayamaliza ila una mashabiki zako wanakupenda na wanakuaminia na mimi pia hivyo hivyo, so sitopenda mashabiki zangu wanione mdhaifu mama yangu.

Mimi ningekukosea ningeshakutafuta kifua sina ???? then all and all Love you too hatuna matatizo mimi na wewe ???? naeshimu sana hichi ila tuache huu ujinga call me dear au nakuchek DM unipe namba zako kipenzi????"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live