Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gigy Money amlilia X wake 'naumia'

Gigy Money Amlilia X Wake 'naumia' Gigy Money amlilia X wake 'naumia'

Tue, 13 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Gigy Money ameamua kutoa ya moyoni kuwa beki hazikabi kabisa kwa mpenzi wake wa zamani Crey.

Gigy anasema kuwa X wake huyo ndiye mwanaume aliyemfanya kuona Baba mtoto wake sio mtu muhimu hii ni kwa namna ambavyo alikuwa anampenda na kumjali mtoto.

Gigy ameendelea kwa kusema kuwa ameshindwa kuwa na mwanaume mwengine na akafurahia mahusiano yake toka aachane nae. Kiufupi ameshindwa kumsahau.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live