Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gigy Money alia kwa uchungu akaunti yake ya instagram kuibiwa

Gigy Money Alia Kwa Uchungu Akaunti Yake Ya Instagram Kuibiwa Gigy Money alia kwa uchungu akaunti yake ya instagram kuibiwa

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: Bbc

Gigy Money amemwaga machozi akimlilia aliyeiba simu pamoja na akaunti yake ya Instagram amrudishie kwani maisha yake yanategemea Instagram!

Kupitia kipande cha video kilichosambaa mitandaoni, Gigy anasikika akilia kwa uchungu na kumuomba mtu huyo amrudishie akaunti yake au ampe mbinu mbadala ya kuishi.

"Nitaishije mimi bro! nirudishie akaunti yangu au nipe njia nyingine basi ya kuishi, mimi nalea mwanangu maisha yangu yanategemea akaunti yangu ya Instagram kwa nini uichukue? Nirudishie naihitaji, nirudishie..." alilalama Gigy.

Chanzo: Bbc