Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gigy Money: Umaarufu unaumiza

Gigy Money: Umaarufu Unaumiza Gigy Money: Umaarufu unaumiza

Sun, 12 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Bongo Fleva, Gift Stanford 'Gigy' amesema umaarufu una gharama sana tofauti na watu wanavyofikiri.

Gigy ametoa kauli hiyo alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi FM katika kipindi cha Lavidavi.

“Ki uhalisia umaarufu una gharama zake… Kuna faida na hasara japo faida ni kubwa … Usipokuwa makini utaishi maisha kwa ajili ya watu sio kwa ajili yako … Umaarufu unaumiza “ @gigy_money_og

Chanzo: www.tanzaniaweb.live