Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gigy Money: Ukinivuruga, nakuvuruga

Gigy Money: Ukinivuruga, Nakuvuruga Gigy Money: Ukinivuruga, nakuvuruga

Sat, 11 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo kutoka kwenye kilinge cha Bongo Fleva, Gift Stanford 'Gigy Money' amesema siku zote yeye ni mtu mwema sana.

Gigy ametoa kauli hiyo alipokuwa Wasafi FM akifanya mahojiano katika kipindi cha Lavidavi.

“Mimi ni Mtu poa sana ila inategemea umenijia vipi … Ukija kunivuruga na Mimi nakuvuruga … Sipendi kuonewa kabisa … Wengi wananichokoza ili wapate sababu za kufanya nionekane mbaya."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live