Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gigy Money: Tunda amepitia mengi kwa Whozu

Gigy MOO Gigy Money

Wed, 22 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Gigy Money; ni staa wa muziki wa Bongo Fleva ambaye amefichua kwamba, kuvunjika kwa penzi la mastaa wenzake, Tunda na Whozu kulitokana na kutoendana.

Gigy anasema; “Tunda alikuwa anapenda maisha expensive (ya ghali), lakini Whozu ni rafiki yangu, yeye yupo sawa kabisa na amesha-move on. Whozu wakati anatembea na Tunda hakuwahi kuchiti, Whozu ni rafiki yangu, sijawahi kumuona na mwanamke mwingine na sijawahi kumsikia akisema anasumbuliwa na mtu DM.

“Whozu amepigania sana penzi lake kabla ya kuamua kukaa pembeni lakini sijui kwa nini ameamua kukaa pembeni, lakini kwav uamuzi huo, mimi ninamsapoti kwa sababu Whozu amepitia vitu vingi sana…”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live