Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gigy Money: Mama yangu anatamani niolewe

Gigy Money 2023 Gigy Money: Mama yangu anatamani niolewe

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Gigy Money anadai kuwa mama yake anatamani aolewe na mwanaume yeyote haijalishi anafanya kazi gani.

Ameyasema hayo mbele ya vyombo vya habari kuwa mama yake yuko tayari ampeleke hata mwanaume anaendesha boda boda atamkubali.

Aidha msanii huyo ameeleza kuwa kwenye familia yao wenzake wote wameolewa bado yeye, ingawa bado anajiona bado mdogo kuingia kwenye ndoa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live