Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gigy: Harmonize amenipa Mil. 5 kutokea kwenye video

Gigy: Harmonize Amenipa Mil. 5 Kutokea Kwenye Video Gigy: Harmonize amenipa Mil. 5 kutokea kwenye video

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Gigy Money ame-share na sisi kiwango cha pesa ambacho amelipwa na msanii Harmonize kwa kutokea kwenye video ya wimbo wa Dharau ambao amefanya na Ibraah wa Konde.

Gigy amesema alilipwa shilingi Miliono 5 ingawa yeye alitaka 10.

"Harmonize ni rafiki yangu, alinicheki nikamwambia kwamba anipe Milioni kumi lakini akaniambia Gigy kwa video gani basi unatokea kidogo tu basi nikakubali milioni tano,"a alisema Gigy.

Kwenye video hiyo, Gigy ameonekana akimfokea kinyama Harmonize jambo ambalo mwenyewe anasema ndivyo ilivyokuwa inatakiwa na yeye kaitendea haki video.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live