Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gigy: Bwana wa Nai alinipa Mil 5 nikamkataa

Nai Na Gigy Gigy: Bwana wa Nai alinipa Mil 5 nikamkataa

Sun, 2 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford 'Gigy Money' amefunguka kuwa alishawahi kutakwa kimapenzi na mpenzi wa Soshalaiti Nai na alimpa Shilingi Milioni 5 ambazo hakuzikubali.

Gigy ameyasema hayo juzikati kwenye kipindi cha Refresh ya Wasafi TV ambapoeleza:

"Nai ulisikiaga tu nimetoka na Moni Centrozone ukachanganyikiwa sasa hujui sasaivi nitafanya nini naongea mara ya mwisho.

"Huyo mwanaume ulio naye sasaivi unaeona kakubadilishia maisha mimi ameshanifuata na Milioni 5 nikamkataa sijui una mabwana wangapi ila kama mimi napenda vitu vya bure kaa na bwana wako umuulize usitake na mashahidi ninamuheshimu tu ningemtaja jina," alisema Gigy.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live