Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Giggy: Baba wa Mtoto wangu haeleweki

Gigy Mane Og Giggy: Baba wa Mtoto wangu haeleweki

Mon, 21 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Gigy Money akiwa kwenye mahojiano na moja ya chombo cha habari nchini anadai kuwa week ijayo amepanga kwenda kumbatiza mtoto wake kutokana na baba mtoto kumkalia kimya bila kuulizia habari za mwanaye.

Mwanamuziki Gigy Money akiwa kwenye mahojiano na moja ya chombo cha habari nchini anadai kuwa week ijayo amepanga kwenda kumbatiza mtoto wake kutokana na baba mtoto kumkalia kimya bila kuulizia habari za mwanaye. Aidha mwanadada huyo amesema kama mzazi mwenziye anataka washirikiane basi amtafute haraka kabla hajafanya maamuzi hayo kwa sababu sasaivi hawezi kumpigia simu anaheshimu ndoa ya baba mtoto wake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live