Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gari atakalopewa Mshindi wa Miss Tanzania mwaka huu

Benz La Miss Gari la Miss Tanzania

Thu, 19 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Gari aina ya Mercedes Benz, Class C ndiyo itakuwa zawadi ya kwanza ya mshindi wa mashindano ya Miss Tanzania 2022 yatakayofanyika Ijumaa, katika ukumbi wa Mlimani City.

Gari aina ya Mercedes Benz, Class C ndiyo itakuwa zawadi ya kwanza ya mshindi wa mashindano ya Miss Tanzania 2022 yatakayofanyika Ijumaa, katika ukumbi wa Mlimani City. Zawadi hiyo ina thamani ya zaidi ya Tsh Milioni 40 na kitita cha shilingi Tsh milioni 10 na mshindi wa pili ataondoka na Tsh milioni tano, wa tatu Tsh milioni tatu na wanne na watano milioni moja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live