Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

'Gamondi ni Diamondi'

Gamondi Ni Diamondi 'Gamondi ni Diamondi'

Tue, 30 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kichwa cha Gamondi Kofia ya Mondi hawa watu wanajua kuwatesa wapinzani mmoja komasava imegusa nyuzi 360 za dunia mwingine mpira umekuwa kisu mwanzo damu mwisho damu.

Mondi kipara chake kimejaa mashairi ya mpira,Garmondi ndio mfalme wa bongo fleva kila siku anaimba mpaka kupitia midundo ya wapinzani amewaacha mbali sio utani.

Mpira kwa Gamondi ni komasava unaweza usikuue lakini huwezi kukwepa kaburi lake, mpira wa Mondi ulitengenezwa kwa Zombie ukapitishwa kwenye njia ya damu ndio maana pasi zinatii kinanda magoli yanatoka sawa na mdundo mkali kwenye spika. Basi Mondi katili kiwanjani Gamondi ni katili Studio.

Ukiwa mpinzani ogopa sana nywele za Mondi ogopa sana kipara cha Gamondi hawa watu wanashindana na akili zao wamechagua kuwatawala wengine kupitia kidole gumba wamechagua kuwafanya wapinzani watoto wadogo wanawachaguliwa zawadi ya maziwa kila kilio kikichukua nafasi. Basi ogopa mpira na mziki. If truth shall kill them let them die.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: