Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gadner G. Habash alazwa Taasisi ya Jakaya Kikwete

Gadna G Habash Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash

Fri, 5 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu).

Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu). Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha XXL, Kapitein amesema alianza kujisikia vibaya wiki chache zilizopita baadaye akapelekwa Hospitali ambako aligundulika kuwa na shida ambayo ilisababisha alazwe JKCI.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live