Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gachi aeleza msoto kufanya kazi na Rommy Jones

GACHI 1 Gachi aeleza msoto kufanya kazi na Rommy Jones

Sun, 23 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo anayefanya muziki wa Bongo Fleva, Fatma Omary ‘Gachi’ ameeleza jinsi alivyopata wakati mgumu kufanya kazi na kaka wa Diamond, Rommy Jones.

Amesema alimtafuta Lukamba ili aweze kumkutanisha naye ambapo awali alikubali lakini katikati akazingua hivyo kulazimika kumtafuta mtu mwingine ili amkutanishe naye.

“Nikamtafuta Juma Lokole, nikamueleza ndipo akanikutanisha naye. Sikutegemea na nikaamini ndoto zangu zimetimia. Nikamsikilizisha nyimbo zangu ndio akapenda ya Yote Sawa, tukafanya video,” alisema Gachi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live