Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gérard Piqué kulazimika kuvaa jezi ya Barca yenye jina la Shakira

PIQUE WD Gérard Piqué kulazimika kuvaa jezi ya Barca yenye jina la Shakira

Fri, 21 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa Barcelona, Gérard Piqué anaweza kulazimishwa kucheza akiwa amevalia jezi ya timu yake hiyo ikiwa imechapishwa jina la aliyekuwa mke wake, mwanamuziki Shakira.

Mwimbaji huyo wa Colombia jina lake linaweza kuonekana kwenye jezi za Barca hivi karibuni kama sehemu ya ushirikiano wao na kampuni ya kusikiliza muziki ya Spotify.

Shakira aligombana na Piqué na wakatalakiana mpaka kupeleka mahakamani, anatarajiwa kuachia albamu yake na Sportify inataka kufanya promotion Kupitia jezi za Barcelona.

Ungekuwa wewe ungevaa jezi ya ex wako?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live