Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

G Nako, Diamond kuna mawe mengine yanakuja

GNako Diamond G Nako, Diamond kuna mawe mengine yanakuja

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kolabo ya Gnako na Diamond Platnumz #Komando kukimbiza kwenye social media na platforms zote za muziki, Gnako amesema kuwa bado kuna mawe mengine yanakuja.

Gnako kupitia interview na Wasafi FM kwenye kipindi cha the SWITCH, amewaeka wazi mashabiki kuwa bado wana nyimbo zingine zaidi ya tatu akiwa na Diamond.

Nyimbo hizi amefichua kuwa walirekodi miezi miwili iliyopita ivyo basi, wanaenda kuachilia moja baada ya nyingine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live