Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Full Video: Dk. Shika akimtambulisha msanii wake

Video Archive
Sat, 9 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Mzee maarufu mtandaoni, Dk. Shika ameamua kutumbukia kwenye kiwanda cha Bongo Flava. Leo amemtambulisha msanii wake aitwaye Godson ambaye atakuwa chini ya usimamizi wake na hivi karibuni kazi zake zitatoka.



Dk. Shika ameeleza kuwa muziki wa Bongo Flava ni kiwanda hivyo ameamua kuanza nacho na ni miongoni mwa vile viwanda 30 alivyotangaza kuvianzisha hapa nchini.



Loading...
Chanzo: bongo5.com