Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Frida Amani adai hamjui Rosa Ree

Frida Rosa.png Frida Amani adai hamjui Rosa Ree

Wed, 17 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Msanii wa Rap nchini, Rosa Ree “Goddess ” kuwapost wasanii wenzie wa wa Rap, Frida Amani pamoja na Chemical kwenye ukurasa wake wa Instagram na akiwataka waendelee kufukua mashimo ila wajue tu atawazika, Rapa Frida Amani pia amejibu.

Baada ya Msanii wa Rap nchini, Rosa Ree “Goddess ” kuwapost wasanii wenzie wa wa Rap, Frida Amani pamoja na Chemical kwenye ukurasa wake wa Instagram na akiwataka waendelee kufukua mashimo ila wajue tu atawazika, Rapa Frida Amani pia amejibu. Kwenye Amplifaya ya Clouds Fm, Frida Amedai hana cha kumjibu mtoa post kwasababu hata hamjui ni nani, akiwa na maana kuwa hajawahi msikia wala kumuona Rosa Ree na haelewi anafanya nini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live