Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Foby afunguka madai ya kulelewa na Mzungu

Fobyyy Foby afunguka madai ya kulelewa na Mzungu

Mon, 5 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, Foby amefungukia madai ya kuwa alikuwa akiishi na Mzungu ambaye ndiye alikuwa akimuweka mjini.

Foby amefunguka hayo alipokuwa akifanya mahojiano kuhusu wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Emoj ambapo alitumia nafasi hiyo kumuongelea pia Mzungu huyo ambaye alikuwa mpenzi weke.

Alisema Mzungu huyo ambaye kwa sasa wameshaachana, kwake hakuwa akilelewa zaidi ya wao kushea na kwamba ndiye mpenzi wake wa kwanza.

"Nilimpenda kweli na hakuwa akinipa fedha, hadi bili tulikuwa tunashea. Mnaweza mkatoka out nini mkishakula anakuambia kabisa leo zamu yako kulipia," alisema Foby.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live