Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fireboy aachia traklist ya Playboy album

Fireboy Onesss Fireboy

Mon, 1 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa muziki kutokea nchini Nigeria, Fireboy ametoa orodha ya ngoma 14 ambazo zitapatikana kwenye albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la Playboy.

Albamu hiyo inatarajiwa kutoka Agosti 4, 2022 ikiwa imeshirikisha wasanii wakubwa duniani kama Chris Brown, Ed Sheeran, Rema, Asake na wengineo.

Fireboy DML – Playboy Tracklist Change Bandana Ashawo Playboy Adore Sofri Diana Compromise Timoti Peru Afro Highlife Havin’ Fun Peru Remix Glory.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live