Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Filamu ya Tanzania ‘Nyara’ yatua Netflix

Nyara Netflix.jpeg Filamu ya Tanzania ‘Nyara’ yapenya Netflix

Fri, 21 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hatimaye movie ya action ya Tanzania ‘NYARA THE KIDNAPPING’ imefanikiwa kupatikana @netflix global ambapo itaweze kuonekana duniani kote.

NYARA THE KIDNAPPING ni filamu ambayo imetayarishwa hapa nchini Tanzania huku waigizaji na waandaji wakiwa ni watanzania.

“Tuna furaha kuwatangazia, ile filamu yetu pendwa ya Mapigano (Action Movie) ya NYARA The Kidnapping sasa inapatikana @netflix duniani kote.”

“Ni filamu ambayo imeandaliwa nchini Tanzania kuanzia kuanzia Waigizaji na timu nzima ya waandaaji, na tunajivunia sana kwa kila mmoja ambaye aliweza kushiriki katika kuandaa filamu hii. Shukrani zetu kwa @okadamedia wasambazaji wetu wakuu.”

“Ilikuwa ni safari ndefu sana lakini Munge Ametenda. Tumefanikiwa. Hongereni sana Waigizaji wote, na Timu nzima ya waandaaji. Tanzania @wanenestudios.”

Directed by @ramlifeofficial

Produced by @drshpndt

Production company @wanenestudios.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live