Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Filamu ya Lord of the Rings kuachiwa 2026

Lord Of The Rings Feature Image Filamu ya Lord of the Rings kuachiwa 2026

Fri, 10 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Filamu mpya ya Lord of the Rings, inayoitwa "The Hunt for Gollum" inatazamiwa kutolewa mwaka wa 2026. Filamu hiyo itaongozwa na Andy Serkis, ambaye aliigiza kama Gollum ama Smeagol katika filamu ya awali ya Lord of the rings, na atakuwa akiigiza tena nafasi yake katika filamu hiyo.

Peter Jackson, mtayarishaji wa filamu ya Lord of the Rings iliyopita, atatumika kusaidiana na Serkis katika mradi huo ujao.

Je, Mhusika gani alikuvutia zaidi kwenye Lord of the rings?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live