Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Filamu ya Beyonce yazinduliwa

Beyonce Filamuus Filamu ya Beyonce yazinduliwa

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Usiku wa kuamkia leo jijini Los Angeles filamu ya Beyonce "Renaissance" imezinduliwa na kuoneshwa kwa mara ya kwanza (Premiere)

Miongoni mwa wasanii waliojitokeza katika hafla hiyo ni Kelly Rowland, Michelle Williams, LeToya Luckett, Lizzo, Halle, Chloe Bailey, Lupita Nyong’o, Tyler Perry, Janelle Monáe, Issa Rae, Niecy Nash-Betts, Gabrielle Union, Ava DuVernay, Coco Jones, Lena Waithe, Kris Jenner, Robin Thede, Jeremy Pope, Laverne Cox, Marsai Martin, nakadhalika.

Filamu hiyo itahusisha matukio yote muhimu yaliyojiri ndani ya Renaissance World Tour. Beyonce alifanya tour hii kuanzia Mei 10, 2023 mpaka Oktoba 1, 2023. Filamu itaanza kuonekana rasmi kwenye Kumbi za Cinema Disemba 1 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live