Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fid Q kurudi tena na Christian Bella

Fid Tamu Fid Q kurudi tena na Christian Bella

Fri, 24 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa miondoko ya Hip Hop Fareed Kubanda "Fid Q" ameshare chats zake na King of the best melody Christian Bella akionesha kuwa wanataka kurudi studio kuleta kibao kipya baada ya miaka 7 tangu watoe ngoma ya kutoa ngoma ya Roho sasa ni wakati wa kupata ngoma mpya ya Tamu.

Tazama mawasiliano ya Fid Q na Christian Bella hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live