Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fid Q: Mtoto wangu ndiyo sababu ya kuwa baba bora

Fid Qd1b81aa54bd0f Fid Q: Mtoto wangu ndiyo sababu ya kuwa baba bora

Tue, 26 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa Hip-hop nchini FID Q kupitia ukurasa wake wa #Instagram ame-share picha akiwa na binti yake na kudai kuwa mtoto huyo anayeitwa Fidelia alimtoa kwenye hali ya kuwa bora baba hadi baba bora.

Mwanamuziki wa Hip-hop nchini FID Q kupitia ukurasa wake wa #Instagram ame-share picha akiwa na binti yake na kudai kuwa mtoto huyo anayeitwa Fidelia alimtoa kwenye hali ya kuwa bora baba hadi baba bora. Ikiwa leo ni siku ya kuzaliwa mtoto huyo, FID Q hakuishia tu kusema amekuwa baba bora bali amedai kuwa kupitia mtoto huyo amemfanya kuwa ‘Feminist’, yaani akimaanisha amekuwa mtetezi wa haki za wanawake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live