Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ferooz alikuwa na ndinga kali kuliko wasanii wote

Ferooz (16).jpeg Ferooz alikuwa na ndinga kali kuliko wasanii wote

Sun, 12 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Prodyuza wa muziki Bongo, Master J amesema Ferooz ni miongoni wa wasanii Bongo waliokuwa na magari makali.

Kauli ya Master J inakuja wakati akimjibu shabiki mmoja Facebook aliyehoji kitendo cha yeye kumiliki gari lake la kwanza mwaka 1997 wakati wasanii hawana.

"Unaongea nini dogo kuna msanii alikuwa na gari la bei mbaya kuliko Ferooz, Jeep? Sugu alikuwa na gari, Prof J alikua na gari, Lady Jay Dee alikuwa na gari, marehemu Ngwea alikua na gari n.k," alijibu Master J.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live