Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fella: Harmonize na Rayvanny hawamuwezi Diamond

Harmo Rayvanny Sd Fella: Harmonize na Rayvanny hawamuwezi Diamond

Sun, 26 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa wasanii WCB, Yamoto Band na TMK Wanaume Family Mkubwa Fella amewasifia wasanii Harmonize na Rayvanny kumaliza tofauti zao lakini amewaambia kuwa kuungana kwao bado hawamuwezi Diamond Platnumz.

Meneja wa wasanii WCB, Yamoto Band na TMK Wanaume Family Mkubwa Fella amewasifia wasanii Harmonize na Rayvanny kumaliza tofauti zao lakini amewaambia kuwa kuungana kwao bado hawamuwezi Diamond Platnumz. Harmonize na Rayvanny wote wamewahi kupita lebo hiyo ya WCB na sasa hivi wanafanya kazi kwenye lebo zao. 

Chanzo: www.tanzaniaweb.live